Metronidazole 400mg21 tablets
Sanofi
Inauzwa naDawaFasta General Pharmacy
Metronidazole 400mg (Flagyl)
21 tablets · Antibiotiki na Maambukizi · Kuharisha
TSh 2,500
✓ Ipo stoo
Inahitaji Prescription. Utaombwa kupakia cheti cha daktari wakati wa kulipia. Huna? Ongea na daktari kwa TSh 10,000.
100% Halisi
Nchi nzima
Ufungaji wa siri
Maelezo
Kwa maambukizi ya tumbo na amoeba.
Matumizi
Inahitaji prescription. Usinywe pombe.
Taarifa hii si mbadala wa ushauri wa daktari. Soma maelekezo kwenye kifurushi na wasiliana na mfamasia au daktari kabla ya kutumia dawa.